NJIA RAHISI YA KU-ROOT SIMU YAKO YA ANDROID.
WHY NEED TO ROOT DEVICE...??
Watu wengi tumekuwa tukipenda simu zetu ziwe jinsi tunavopenda sisi..mfano mwandiko wa simu (fonts)..booting animations..na vitu kama hivyo lakini tunashindwa kwa sababu android wameficha.Njia ya kufichua hayo ni ku-ROOT simu yako
- Ukiwa na root access simu yako itaweza kutunza CHARGE.
- Utaweza kufungua locked items kwenye baathi ya GAMES na apps
- Utaweza kubadilisha mfumo wa maandishi wa simu yako(FONTS)
- Utaweza ku unlock baathi ya secured WI-FI NETWORK.
JINSI YA KUFANYA;
- Download FRAMAROOT kwenye play store au kwa ku-search google;(framaroot apk) then install it
- Download BUSSY BOX kwenye play store au kwa ku-search google;(bussybox apk) then install it
- Open FRAMAROOT app kisha click INSTALL SUPER SU...angalia chini kidogo utaona neno BOROMIR..bonyeza kisha subiri kidogo..itaonyesha meseji kwamba ur SUCCESS;-..isipokubali soma kwa makini maelekezo na urudie tena
- Angalia kama SUPER SU ipo kwenye app list ya simu yako...kama ipoo u hv almost done usiifute.
SOMETHING TO NOTE;
Hii ni wa wenye ANDOID VERSION 4.2.2 na kushuka chini
Kuwa makini na uijue kila hatua unayoifanya.AM NOT RESPONSIBLE FOR ANY DEMAGE OF YOUR PHONE.DO IT FOR YOUR OWN RISK
No comments:
Post a Comment